Ewe mnyonge, kuwachukia matajiri hakukupi unafuu wa maisha

Ewe mnyonge, kuwachukia matajiri hakukupi unafuu wa maisha

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
5,715
Reaction score
13,739
Wengi wao wanaotamani utawala kama wa mwendazake urudi tena kwa mara nyingine ni wale waliokuwa wamebatizwa jina la "wanyonge"😀😀😀

Na hawa wengi wao wanawachukia sana matajiri, hutamani kuona tajiri akifirisika na kuwa kama wao. Na wengi wao wanatamani utawala kama ule wa mwendazake ili matajiri wafirisiwe😀😀
 
Wengi wao wanaotamani utawala kama wa mwendazake urudi tena kwa mara nyingine ni wale waliokuwa wamebatizwa jina la "wanyonge"[emoji3][emoji3][emoji3]....Na Hawa wengi wao wanawachukia sana matajiri, hutamani kuona Tajiri akifirisika Na kuwa kama wao ....Na wengi wao wanatamani utawala kama ule wa mwendazake ili matajiri wafirisiwe[emoji3][emoji3][emoji3].....
Masikini tunakua na roho mbaya kudhani kwamba tajiri akifilisika mali zake utazimiliki, hapana ni roho ya uchawi tu.
 
Back
Top Bottom