Ewe mnyonge, kuwachukia matajiri hakukupi unafuu wa maisha

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
5,715
Reaction score
13,739
Wengi wao wanaotamani utawala kama wa mwendazake urudi tena kwa mara nyingine ni wale waliokuwa wamebatizwa jina la "wanyonge"πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Na hawa wengi wao wanawachukia sana matajiri, hutamani kuona tajiri akifirisika na kuwa kama wao. Na wengi wao wanatamani utawala kama ule wa mwendazake ili matajiri wafirisiweπŸ˜€πŸ˜€
 
Masikini tunakua na roho mbaya kudhani kwamba tajiri akifilisika mali zake utazimiliki, hapana ni roho ya uchawi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…