Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Kada ya ualimu ndio imebeba idadi kubwa ya watumishi. Mwaka 2015 pekee waliajiriwa walimu wengi sana kwa mkupuo na hao hawalupanda madaraja kwa takribani miaka 6
Sasa taarifa iliyo toka hivi karibuni ni kuwa wamepandishwa watumishi kama sabini elfu hivi.
Je, utakuwemo?
Pia, sio mbaya kuleta updates humu hali ipoje kwenye kada nyinginezo mikoani wilayani n.k.
Sasa taarifa iliyo toka hivi karibuni ni kuwa wamepandishwa watumishi kama sabini elfu hivi.
Je, utakuwemo?
Pia, sio mbaya kuleta updates humu hali ipoje kwenye kada nyinginezo mikoani wilayani n.k.