Punguza wivu mkuuWalimu na madaraja, utadhani kinachoongezeka kina maana kumbe ni laki tu.Haya mtaongezewa hiyo laki mpange foleni kwenda kutop up benki mrudi kulekule tena. Aliyefanya ualimu ikawa kada ya wengi waliofeli aliharibu Sana ndio maana hata makofi sometimes yanawahusu, hamujitambua nyie walimu acheni umbea na kujipendekeza kwingi kwa vitu vidogo vidogo.Mwalimu anajipendekeza kwa DEO ili akasimamie mtihani π€£π€£π€£ ovyo kabisa
πππ pole sana yaliwahi kukukuta nini?Walimu na madaraja, utadhani kinachoongezeka kina maana kumbe ni laki tu.Haya mtaongezewa hiyo laki mpange foleni kwenda kutop up benki mrudi kulekule tena. Aliyefanya ualimu ikawa kada ya wengi waliofeli aliharibu Sana ndio maana hata makofi sometimes yanawahusu, hamujitambua nyie walimu acheni umbea na kujipendekeza kwingi kwa vitu vidogo vidogo.Mwalimu anajipendekeza kwa DEO ili akasimamie mtihani π€£π€£π€£ ovyo kabisa
Acha madharauWalimu na madaraja, utadhani kinachoongezeka kina maana kumbe ni laki tu.Haya mtaongezewa hiyo laki mpange foleni kwenda kutop up benki mrudi kulekule tena. Aliyefanya ualimu ikawa kada ya wengi waliofeli aliharibu Sana ndio maana hata makofi sometimes yanawahusu, hamujitambua nyie walimu acheni umbea na kujipendekeza kwingi kwa vitu vidogo vidogo.Mwalimu anajipendekeza kwa DEO ili akasimamie mtihani π€£π€£π€£ ovyo kabisa
Hongera mkuu hadi ume kumbuka kumtaja Mungu? Yainekana ulikuwa umebanwa saana. Huyo soldier hapi kwenye picha aliwapeleka utumwani watumishi hakika nakuambia.Mimi nimepanda daraja,barua nimechukua Jana ,naipomgeza government yangu kwa Hilo,nategemea kitu Kama 150+ kuongezeka mwezi huu. Mungu mkubwa jamani
Barua inaelekeza vipi kuhusu mabadiliko hayo. Ni mwezi huu au ujao?Mimi nimechukua barua leo leo nimepanda cheo, pesa inayoongezeka ni 240,000 ni pesa nyingi kwa mipango yangu nikienda Bank sikosi milion 12.
Asante sana Rais Samia Suluhu huu ni mwanzo mzuri kwa haki zetu
Mataga mkubwa wewe Toka hapaMimi nimepanda daraja,barua nimechukua Jana ,naipomgeza government yangu kwa Hilo,nategemea kitu Kama 150+ kuongezeka mwezi huu. Mungu mkubwa jamani
That is political science [emoji2][emoji116]wanazidi kuwapunguza toka tisini elfu
Da usinikumbushe mambo yalivyokuwa kama miezi 6 tu hapo nyuma ππππThat is political science [emoji2][emoji116]View attachment 1827081