Dikteta aliyafanya hayo!!?Mimi nimepanda daraja,barua nimechukua Jana ,naipomgeza government yangu kwa Hilo,nategemea kitu Kama 150+ kuongezeka mwezi huu. Mungu mkubwa jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walimu na madaraja, utadhani kinachoongezeka kina maana kumbe ni laki tu.Haya mtaongezewa hiyo laki mpange foleni kwenda kutop up benki mrudi kulekule tena. Aliyefanya ualimu ikawa kada ya wengi waliofeli aliharibu Sana ndio maana hata makofi sometimes yanawahusu, hamujitambua nyie walimu acheni umbea na kujipendekeza kwingi kwa vitu vidogo vidogo.Mwalimu anajipendekeza kwa DEO ili akasimamie mtihani [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ovyo kabisa
Ndio barua inaelekeza madiliko la mashahara ni mwezi huu huuBarua inaelekeza vipi kuhusu mabadiliko hayo. Ni mwezi huu au ujao?
usipende kukashifu kazi za watu,hii kazi now tunaifanya vijana tunaojitambua,huo ualimu unaouzungumza hapa ni wa enzi za mwl jk,halafu mwl sio mtu aliyofeli futa kauli yako,yamkini una kazi nzuri na kipato kizuri lakini usitumie kuwamamanga wenzako kumbuka nabii selemani alikuwa tajiri kupita wote duniani ila kuna kipindi mungu alimpa mtihani akawa hata Kula yake ni hadi akaombe kwa wavuvimWalimu na madaraja, utadhani kinachoongezeka kina maana kumbe ni laki tu.Haya mtaongezewa hiyo laki mpange foleni kwenda kutop up benki mrudi kulekule tena. Aliyefanya ualimu ikawa kada ya wengi waliofeli aliharibu Sana ndio maana hata makofi sometimes yanawahusu, hamujitambua nyie walimu acheni umbea na kujipendekeza kwingi kwa vitu vidogo vidogo.Mwalimu anajipendekeza kwa DEO ili akasimamie mtihani 🤣🤣🤣 ovyo kabisa
Tarehe 01/06/2021Barua yako inaonesha badiliko linaanza mwezi upi ?