Ewe Mwalimu,je Unataka kuongeza kipato chako? "SOMA HAPA"

Ewe Mwalimu,je Unataka kuongeza kipato chako? "SOMA HAPA"

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
NDUGU MWALIMU,LUSHOTO ni wilaya yenye kila kitu,hali ya hewa safi kabisa,biashara,kilimo,utalii,burudani na starehe,ardhi yenye rutuba inayofaa kwa kilimo na ujenzi wa nyumba za kisasa,maji yanayo sapoti kilimo cha irrigation,kila zao la biashara linakubali, KAMA UKO MOROGORO mjini au BAGAMOYO na unatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo (SEKONDARI) uhamie LUSHOTO nijulishe.

COME AND ENJOY THE BEAUTY OF USAMBARA.
 
we mwalimu kweli..?Mbona heading haindani na kilichomo ndani mnh nnamashaka na ww...
 
Lushoto KWELI ni pazuri. nimesoma huko.
Yeyote anayetaka kwenda, aende. i guarrantee you, you'll never regret.
oh how i miss the place!
 
Njoo mtwara mimi nije Lushoto maana huku pia fursa ziko njenje kwa sababu ya Gas
 
Njoo Dar ila uniachie shamba lako la Lushoto,Nyumba saafi na kianzio kama milioni 6 nakukaribisha Kambangwa Secondary.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Njoo Dar ila uniachie shamba lako la Lushoto,Nyumba saafi na kianzio kama milioni 6 nakukaribisha Kambangwa Secondary.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

.....na mimi uniachie mkeo mkuu!
 
no sense kuhamia lushoto ndo kuongeza kipato? frustrated teacher.
 
Mnafiki mkubwa weeeeee njooooo mwambie dada yako asomee ualim aendeee* lushotoooooo nyoooooo
 
kwa mwl anaeitaji kuja shinyanga kutoka arusha,manyara,kilimanjaro plz 2Wasiliane kwa no.0712872378
 
Back
Top Bottom