Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Kwanini wewe hayo mazuri yote unayaacha.
NDUGU MWALIMU,LUSHOTO ni wilaya yenye kila kitu,hali ya hewa safi kabisa,biashara,kilimo,utalii,burudani na starehe,ardhi yenye rutuba inayofaa kwa kilimo na ujenzi wa nyumba za kisasa,maji yanayo sapoti kilimo cha irrigation,kila zao la biashara linakubali, KAMA UKO MOROGORO mjini au BAGAMOYO na unatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo (SEKONDARI) uhamie LUSHOTO nijulishe.
COME AND ENJOY THE BEAUTY OF USAMBARA.
sa ndo nini?PROMO
Kwanini wewe hayo mazuri yote unayaacha.
hata mi ndo nilitaka kuuliza
.....Endelea kuwa na mashaka hivyo hvyo.we mwalimu kweli..?Mbona heading haindani na kilichomo ndani mnh nnamashaka na ww...
Njoo Dar ila uniachie shamba lako la Lushoto,Nyumba saafi na kianzio kama milioni 6 nakukaribisha Kambangwa Secondary.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
.....na mimi uniachie mkeo mkuu!