Ewe mwalimu toa maoni yako hapa kuhusu uchovu wa chama cha walimu kwa sasa

sabufa

Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
26
Reaction score
4
Haijawahi kutokea mwl kudai fedha za likizo kwa mwaka mzima baada ya chama kuanziwa.Vilevile madaraja ni kero kubwa.
 
Mwl wa Tanzania=mtumishi wa mungu hakuna shida(dooo tabu )kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…