Ewe mwana Simba SC chagua Kikosi imara cha Kucheza na Yanga SC ili kuanzia Jumanne ijayo nikifanyie Kazi 'Maalum' tushinde Mechi

Yeah sasa hivi kawa mzito ingawa Israel bado hajafikia standard za Kapombe ingawa alicheza vizuri sana game ya Red Arrows
ni kuendelea kumwamini na kumpa namba hadi atafaa, hawezi kuwa mzuri kwa kukaa benchi..

Method Mogella fundi, alikuwa akicheza namba 8 mara moja moja, na bahati mbaya namb hiyo Hamis Thobiuss Gaga ndio yake..

Sasa katika zile mechi za Africa Mashril na kati, Simba ilikuwa inasumbuliwa sana na ulevi wa Kassanga Bwalya.

Simba vs Gor mahia, mtangazaji alikuwa ahmed Jongo, alisema nanukuu.. "namb nne ni Jamuhur Kiwelu, sentahalf ni Merhod Mogella, Method Mogella leo ni sentahaf.. halafu aka pause.." uwanja mzima ulifanya aaaaah...

lakn mkoba alioupiga siku ile, ikawa ndiyo Mwisho wa Bwalya pale Simba, na Method akawa tegemeo kwa Simba namb hiyo..

Israel aaminiwe, wakongwe wapewe dk chache za kuchoma ngiri timu ikiwa imeshashinda goli nyingi.
 
ni kuendelea kumwamini na kumpa namba hadi atafaa, hawezi kuwa mzuri kwa kukaa benchi..

Method Mogella fundi, alikuwa akicheza namba 8 mara moja moja, na bahati mbaya namb hiyo Hamis Thobiuss Gaga ndio yake...
" Israel aaminiwe, wakongwe wapewe dk chache za kuchoma ngiri timu ikiwa imeshashinda goli nyingi" 😀😀😀

Hata Kamagi juzi alikua na mchezo mzuri.
 
Aishi Manula-
Shomari Kapombe
Mohamed husssen
Joashi Onyango
Paschal Wawa
Thadeo Lwanga
Henock Inonga
Jonas Mkude
Medi Kagere
Bwalya
Kibu denisi


Benchi:-
Kakolanya
Kennedy
Israel
Morison
Bocco
Kanoute
Mzamiru
Dilunga
 
Ghost Coaches at their best. Simba can't prevail with hypothetical line ups.
 
Nashauri wacheze na kikosi kazi cha majini cha simba...
NAVY Simba...
 
Imebidi tu namimi niweke cha kwangu lakini sjui kwanini nmeweka

1. Manula
2. Kapombe
3. Zimbwe
4. Onyango
5. Inonga
6. Nungunungu
7. Efua Morris
8. Kanoute
9. Kagere
10. Larry Bwalya
11. Banda
 
Zimbwe hajawahi kucheza vizuri mechi ya derby ya ligi, mara nyingi anazidiwa, beki wacheze Israel na Gadiel, katikati Kenedy na mkongomani Ino, Bwalya yupo slow sana aanzie benchi, striker aanze kagere
 
Simba wana wachezaji wengi bila sababu na badala yake wana drain resources za klabu bure ndio maana hizi timu haziwezi ku-break even, kila siku zinakula hasara tu.

The club has recruited more than it actually needs and consequently the overall revenue it earns is not sufficient to meet the total costs of running the club and that's why Mr. Mo the sponsor will continue to play the pivotal role of an avuncular to the cash strapped club.
 
Ikipangwa
Manula
Kapombe
Tshabalala
Wawa
Onyango
Mkude
Mzamiru
Bocco
Kagere
Banda
Morison

Bocco ni mzuri kuanza kufanya marking juu
Wawa ni cB mwenye kasi kidogo hivyo uwepo wake ni kujaribu kubalance na Central back wengine
 
Hakuna kikosi cha kucheza na kina Aucho hapo!
 
Tarehe 11 mnakufa nyingi kwa Aina ya uchezaji niliouona jana
 
1.kakolanya
2.Isra
3.zimbejr
4.kennedy
5.inonga
6.mkude
7.mwanuke
8.bwalya
9.Ajibu
10.morisson
11.yusuph Muhilu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…