Ewe Mwanachuo, pitia hapa uepukane na aibu ya kuwa msomi

Ngoja waje kuchukua muongozo...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Sikutegemea kama kuna mtu ana mtazamo hasi na bandiko la mtoa maada.
Kweli kusoma maandishi sio kuelewa. No wonder kuna wanahitimu kibao wanalia lia mtaani sababu ya kukosa maandalizi.
Na wapo watu wanamudu maisha vizuri tu sababu ya vitu walivyojiandaa toka wakiwa chuo
 
Bado ni too theoretical sana
Hii inawezekana kabisa mkuu mimi nina mtu ninae mjua alikuwa anauza headphone kwa picha tu anaenda dukan anaongea na muuzaji kwa namna anavyojua yeye anapiga picha na kupost whatsaap watu wakifika bei anaingia town kuchukua bidhaa na kuja kuziuza kwa bei aliyopanga yeye na kwa head phone moja alikuwa anapata zaid ya faida hadi 10000 kila kitu kinawezekana ni kuthubutu
 
Thawa bff [emoji8][emoji16][emoji122]
 

Me nataka nifungue duka la vifaa vya simu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…