FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
ikiwa amekutongoza na ukampenda,basi hakikisha unakuwa wa kwanza kumualika Chakula hotelini na kama ni yeye mwanaume ndio kakualika hotelini kwa Chakula basi hakikisha wewe mwanamke ndio unalipia Chakula siku hiyo.
Hakikisha wewe mwanamke unatenga shilingi elfu kumi tu,unanunua vocha za jelo jelo kisha unakuwa unamnunulia kifurushi cha maongezi kila siku ishirini mfululizo,
Báada ya hapo uchune nakuhakikishia hata awe mwanaume wa Kipare,lazima moyo wake wa ubahili ulainike na atavunja kibubu kukujaza mahela
Akichomoa ujue huyo si mpenda tamu,ukweli bado ni nadra sana hutokea mwanaume kuhongwa na ikitokea mwanaume hujiona mwenye bahati,
Ndio sababu mama lishe hupendwa na wanaume maana wakimpenda mwanaume hawaoni noma kumhonga msosi Mara moja moja.
NB:Hamna mwanamke mbaya duniani,akinyimwa kimojawapo atapewa kingine,kama si chura basi atakuwa na sauti nzuri au Muondoko matata au pua au macho mazuri,mapaja au maziwa/chuchu nzuri au ranging nzuri au meno meupe au cheko/tabasamu zuri,kifupi lazima kimojawapo awe anacho
Na hakuna mwanamke mwenye sifa Zote hizo lazima zingine atakuwa Nazo na zingine atakosa.
instagram kaukwaju