Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,129
Mtu wa Arusha wewe.Achaga njaro za ki'whack dingiiwise,Mbona unaniletea mangendembwee yakushato asee!!Kwani PM ni nini chaliangu?Ni kifupi cha jina langu2 aride usihanye kisoro ivo.
[emoji23][emoji23][emoji23]DOGO BHANA, SHULE ZIMEFUNGWA AU NDO STRESS ZA MAGU KITAA
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio,karibu sana nakukaribisha kwa mikono miwili Gachuland.
Mithali 6:32Sura ya ngapi?mstari wa ngapi hadi ngapi mamiloo nisome coz nna bible tayari mkononi apa fiade.
Aika/Ashenale/Thanks.Mithali 6:32
PM ndo nini??Prince Mikazo au?
Naomba usome unipe mrejesho mkuuAika/Ashenale/Thanks.
Makini sana.Naomba usome unipe mrejesho mkuu
Aziniye na mwanamke hana akili kabisa!