Ewe Mwanamke Wa JF, Ukipata Mwanaume JF Jua ndio Mwanaume Bora Tanzania

hiden

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2015
Posts
376
Reaction score
691
Unajua ukiona Mwanaume JF jua ni mtu mwenye uwezo mpana sana.
Ofcoz wachache ndo wazinguaji ila asilimia kubwa ni Gentleman.

Hivyo, ewe dada, ukipata Dume huku au ukiona kuna dume linakuhitaji jua huyo nfo mwanaume kamili.

Haijalishi hana ela, gari au hata sura, ila kitendo cha yeye kuwepo humu jua ni Real Man.

This is home of great thinkers!!

Usichezee bahati.
 
Kiukwel mwanamke atakae pata bahati ya kuolewa na mimi atakua kaokota almas mtaa wa kongo.. Nafanya kila kitu nachoona kitafaa ili aje kuushi maisha ya furaha na amanii.. Usinitese tu we mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…