Kuna watu automatically sio waandishi wazuri, hao nao wanawachanganya katika fungu hilo?Miandiko yao inajidhihirisha
Sijamaanisha wanaandika vibaya. Nimemaanisha maoni yao juu ya vitu mbali mbali.Kuna watu automatically sio waandishi wazuri, hao nao wanawachanganya katika fungu hilo?
I see... Nakupata. Ila kuna ma comic pia!Sijamaanisha wanaandika vibaya. Nimemaanisha maoni yao juu ya vitu mbali mbali.
Hahaaaa unavituko ww. Mbona hata sikumaanusha!!! Basi naomba unitafutieEeehh haya ngoja waje waokote almasi ya chupa [emoji38][emoji38][emoji38]
Ila JF wanajitahidi....Ya Mungu mengi, walio humu ndo tuko nao mitaani, makanisani kila kona ya dunia! Tabia zao ndo hao huko nje, wapo wazuri na wabaya pia. Sio kwamba kuwa JF ni kuwa sayari nyingine
Hahaha hahahaIla JF wanajitahidi....
Hahahahah
Jamii haishi vitukoOoohh wapo hata mapopoma[emoji847]
Kuna wakat unaongea point sana, usiwe kama black woman asiyesema ya ukweliYa Mungu mengi, walio humu ndo tuko nao mitaani, makanisani kila kona ya dunia! Tabia zao ndo hao huko nje, wapo wazuri na wabaya pia. Sio kwamba kuwa JF ni kuwa sayari nyingine
Ila wewe ndo hao alosema black womanKuna wakat unaongea point sana, usiwe kama black woman asiyesema ya ukweli
Hahahahaha ukweli nishauweka hadharaniKuna wakat unaongea point sana, usiwe kama black woman asiyesema ya ukweli
Hahahahaha umejua haswaIla wewe ndo hao alosema black woman
Hahaha hahahaHahahahaha umejua haswa
Nipo kwenye jamii lazima niwe tofauti hatuwezi fanana kila mmoja wetuIla wewe ndo hao alosema black woman
Black womani hoja ya sakayo ina mashikoHahahahaha ukweli nishauweka hadharani
Sasa mbona ulisema black woman hasemi kweli jamanii!Nipo kwenye jamii lazima niwe tofauti hatuwezi fanana kila mmoja wetu
[emoji41][emoji41][emoji41]Hahahahaha umejua haswa
Mna matatizo nyie, mna stess nyieHahaha hahaha
Hebu niagizie basi thoda