Binafsi naunga mkono hoja ya mleta mada " kwa mtu ambaye anahitaji kuwa kwenye mahusiano na Me/Ke ambaye yuko vizuri upstairs na mwenye kuijua thamani ya jinsia ya mwenzake basi ni wazi kwamba jf ndio mahala sahihi (ila hapa kidogo kuna changamoto''wapo baadhi ya watu wanaamini kwamba mitaandaoni wanapatikana watu wa huni tu). So kwa victims wanapaswa kuwa makini kiasi na watu watakao kutana nao " .....
Watu wengi wa humu wameelimika pia ni watu waliostaarabika " so ni nadra Sana kukuta mtu aliye staarabika akawa ana mfanyia binaadamu mwenzie vitendo vilivyo kosa utu " moja ya vitendo vilivyo kosa utu ni pia ni kule kukosa kuheshimu pia hisia za wenza wetu "
So binafsi natarajia kuona kwamba watu walio staarabika wakiwa na mapungufu ya hiyo kasumba ya kukosa ustaarabu ... ni tofauti kidogo na watu wanaopatikana nje ya jf ..huko unakuwa kama unacheza kamari tu " kwa sbabu waweza kukutana na mtu let say club .bar .sokoni .kwenye dala dala etc ikawa haujui hata upana wa uwezo wake wa kufikiri na kuchanganua mambo ila ikawa amekuvutia tu kutokana na mtazamo wa muonekano wake mwisho wa siku ukajikuta una m-date mtu ambaye ana upeo mdogo ambao unaona wazi kabisa hauwezi kuwasaidia katika kuboresha mahusiano na maisha yenu kwa ujumla
Wito wangu tu kwa members wanapokuwa humu " wana paswa kuwa neutral kiasi kama ambavyo wewe ABJ ulivyo course jinsi utakavyo jiweka humu ndio jinsi ambavyo watu watakuchukulia ..
So twaweza kuona kuna baadhi ya watu wanakuja humu wana lalamika kuwa Me/ke wa jf hawafai sio waaaminifu " kumbe ni kwa sababu walijiweka hovyo mwisho wa siku wakafuatwa na watu wenye tabia za hovyo kwaajili ya kuwa tumia ....
Mfano mdogo tuwaangalie hawa madada @keruche
Sky Eclat ni vigumu kukuta hawa wadada wakifuatwa na wanaume wapuuzi puuzi kwa sababu wanajua wazi kuwa ni watu ambao hawawezi kuingilika kirahisi " na wakifuatwa basi watafuatwa na wanaume ambao wana fanana nao kiakili
ABJ