Ewe mwananchi, Septemba 7 yako ni nini katika kipindi cha miaka mitano ya utawala wa Rais Magufuli?

Ewe mwananchi, Septemba 7 yako ni nini katika kipindi cha miaka mitano ya utawala wa Rais Magufuli?

mcfm40

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,452
Reaction score
3,151
Kumbe sptemba saba haimhusu Lissu tu kipigwa risasi. Wengi wetu tuna septemba 7 zetu. Lissu kanifumbua macho!

Binafsi Septemba 7 yangu ni kutoongezwa mshahara wala kupandishwa cheo kwa miaka mitano iliyopita. Matokeo yake ni nini?

Matokeo yake ni kwamba mipango yangu yote ya maendeleo imevurugika. Nilichukua mkopo kwa mahesabu kwamba nyongeza ya mshahara kila mwaka kwa miaka mitano ita offset maumivu ya mkopo husika?. Kwa miaka yote nimekuwa sikopesheki tena. Hali ya maisha imepanda mshahara umebaki palepale. Watoto wanaohitaji ada ya shule wameongezeka! Ukiongezea na makato ya asilimia15 ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu, nabaki na kiasi kisichosemeka!

Maisha yamekuwa magumu magumu magumu!

Wafanyakazi tumeikosea nini serikali hii?

Hii ndiyo septemba 7 yangu!

Ni nini Septemba 7 yako?
( Post yangu na ujumbe uliopo ni kwa hisani ya mkutano wa kampeni wa Lissu Dodoma, jana).
 
Kumbe sptemba saba haimhusu Lissu tu kipigwa risasi. Wengi wetu tuna septemba 7 zetu. Lissu kanifumbua macho!

Binafsi Septemba 7 yangu ni kutoongezwa mshahara wala kupandishwa cheo kwa miaka mitano iliyopita. Matokeo yake ni nini?

Matokeo yake ni kwamba mipango yangu yote ya maendeleo imevurugika. Nilichukua mkopo kwa mahesabu kwamba nyongeza ya mshahara kila mwaka kwa miaka mitano ita offset maumivu ya mkopo husika?. Kwa miaka yote nimekuwa sikopesheki tena. Hali ya maisha imepanda mshahara umebaki palepale. Watoto wanaohitaji ada ya shule wameongezeka! Ukiongezea na makato ya 15 ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu, nabaki na kiasi kisichosemeka!

Maisha yamekuwa magumu magumu magumu!

Wafanyakazi tumeikosea nini serikali hii?

Hii ndiyo septemba 7 yangu!

Ni nini Septemba 7 yako?
( Post yangu na ujumbe uliopo ni kwa hisani ya mkutano wa kampeni wa Lissu Dodoma, jana).
Wewe una mipango mibaya! Katika awamu hii, Unasoma elimu ya juu ukitumia mkopo, umeongeza watoto katika kipindi hiki cha miaka mitano, umechukua mkopo sijui wa nini - na wakati huohuo umeajiriwa!
Au umetunga hizi lawama! Kama hujatunga, utakuwa unajitamka umasikini
 
Back
Top Bottom