wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 25,190 Reaction score 27,434 Dec 5, 2018 #1 Nilikuwa nawakumbusha tuu kuwa kufuatia wiki mbili hizi zijazo kuwa ile kauli ya "baby nikuambie kitu"ndio muda wake hasa huu umekaribia hivyo mwanaume mwenzangu kuwa makini na hii kauli. Ni hayo tuu nimewakumbusha.
Nilikuwa nawakumbusha tuu kuwa kufuatia wiki mbili hizi zijazo kuwa ile kauli ya "baby nikuambie kitu"ndio muda wake hasa huu umekaribia hivyo mwanaume mwenzangu kuwa makini na hii kauli. Ni hayo tuu nimewakumbusha.
monde arabe JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 8,781 Reaction score 13,444 Dec 5, 2018 #3 Ni kweli!