Ewe mzazi kama unaishi na mwanao au jamaa ambaye ni Jobless, basi zingatia haya

Tukiandaa hii ikakaa sawaa inaweza kufanikisha kitu...
 
Nimecheka sana mkuu [emoji1]
Sina budi kukazia[emoji419][emoji419][emoji419][emoji375][emoji375]
 
Naomba kuwa mjumbe wa kamati kuu katika hiki chama
Naahidi kukitumikia kwadhati
Hadi siku ntakapokuwa nimejipata [emoji120][emoji120][emoji120]Intelligent businessman
 
Na Mimi kama jobless naunga mkono hoja,ila pia nashauri kwa hawa mabinti wanao tupa utelezi wapunguze kutuambia shida zao zinahusiana na pesa maana huwa zina tupandisha kisukari mixer Bipolar,unakuta jitu zima linajuwa kuwa huyu kenge hana hela lenyewe kila kukicha linaleta mastory ya kijinga mara nywele zimefumuka mara mchango wa nn sijuwi huja kaa vizuri hela ya mashono ya nguo ya harusi ukigeuka huku mara nimekwama nina shida na laki mbili,mimi mwenye jobless hiyo laki mbili naisikia tu masikioni,waache kutusumbua wakiona vp waipite huko lidada kutwa kucha kujilalamisha kutaka hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…