Chama cha mapinduzi ni mali ya wafanyakazi na wakulima kwa ujumla hapo ni watz wote ila nachokiona hapo ni kuwa wale aliotangulia kuhuduma katika chama na familia zao wanajioona wao ndo wenye haki na chama na wengine wakuja Naomba nape ajuwe kutangulia sio kufika kwasasa watz wanataka viongozi ambao watawaletea mambo yafuatayo sio mzazi au babu alikuwa kwenye historia
* uhakika wa chakula,maji,mavazi
*atayesimamia rasilimali za nchi
* kulinda wananchi na mali zao
*atakayekemea uonezi,wizi na ufisadi
*atakayesimamia ulipuko wa bei za vitu
*atakayekuwa tayari kufa kwa ajili ya kupambania watu watu
*uhakika wa matibabu na sawa
*atakayesimmia haki
Na mengineyo