Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Kama wewe sio mtu wa pande hizo, acha kabisa mawazo ya kuoa huko:
Kwa kina Mura - Wakurya na wenzao Wajaluo (huko kuna ubabe, vurugu, na utemi mwingi kwa pande zote, wanaume na wanawake, ndiyo maisha ya kawaida. Hapa muda wowote kinawaka. Kama hujazoea mazingira ya vurugu, tafrani, na mtifuano, hapa hapakufai).
Wagogo wa Dodoma pamoja na jamii za ukanda wa pwani - Wazaramo, Wandengereko, Wabondei - sehemu kubwa ya maisha yao ni starehe na uvivu. Hawapendi mshikemshike wa kujishughulisha. Ni watu wa kuridhika haraka na hawana kiu ya kuwa na maisha bora. Hatuwalaumu bali tunawaelezea jinsi walivyo.
Waha wa Kigoma, Wandali wa Ileje, Wanyamwanga, na wenzao Wanyiha pande za Mbozi, mkoa wa Songwe - huko hataria. Hapa ni nyumbani pa mambo ya sangoma a.k.a shirki a.k.a ulozi na mengine kama hayo. Kwa hiyo, chaguo ni lako.
Wapare, Wameru wa Arusha, na wenzao wa Kichagga - huko sina haja ya kurudia maana habari zao zimejaa lukuki, uchague mwenyewe tu kuzifuatilia au la.
Usiseme hatukukwambia.
Lengo la uzi sio kuchafuana bali ni kuelezana ukweli mtu mwenyewe aamue na Mola wake.
Huu ni mtazamo wa ujumla wa jamii kwa watu hawa. Ila tabia ya mtu mmoja mmoja inaweza kuwa tofauti.
Sosi ni nyuzi mbalimbali zilizoletwa hapa JF.