Ewee Mola nchi yetu inaongoza kwa mambo ya kuiga lakini tuepushe na hili.

Spear

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2008
Posts
507
Reaction score
29
Hao walishawahi kuja Zanzibar meli nzima kuzuru alipozaliwa shoga'o Fred Mercury.
 
molo ndo nini???

Nipe kabila lako ili nikutumie maana ya mola kwa kutumia lugha halisi ya Ukoo wako ili nikurahisishie kufahamu (kuelewa)maana ya mola nyie wengine mnaongea swahili, na sisi tunazungumza kiswahili.
 
Hao walishawahi kuja Zanzibar meli nzima kuzuru alipozaliwa shoga'o Fred Mercury.

Mwezangu hiyo kuja sitatizo ,tazio linakuwa pale jamii wanapo iga mambo ya hao watu naimani unaelewa fika jinsi ndugu zetu wa kike hapa bongo walivyovamia mambo yaku sasambuwa makalio kila umuonae anataka kuonesha ukubwa wa makalio yake , kina kaka nao wanaiga wamarekani wanayatumia makalia kwa mapumziko kuna mzee mmoja alifika kuniamba sikuhizi imefika hadi umulize mwanamke mchezo gani aupendae la si hivyo ukifunga nae ndowa na wewe sio mpenzi wa michezo yote miwili anatafuta mtu wakucheza nae mchezo wa pili kama hanae .
 
Atunusuru haswa mana mtu mpaka unaogopa kuzaa mana kama ni wa kike anaweza kuwa lesbian au gay kwa mwanaume, shida tupu umasikini wetu unatutosha mungu atuepushie na mabalaa mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…