CEO wa EWURA ni mume wa Spika hakuna namnaSisi bodaboda tunataka tuyakute kwenye vituo. Kama yapo ya kutosha halafu Handeni na Tabora Kuna uhaba tutawaelewa kweli? Mara Kuna mtu kafa kwasababu ya ukosefu wa petroli, Leo hii mchana kweupe MTU anasema mafuta yapo ya kutosha, inahitaji degree ya kiwango Cha PhD ili kunuelewa.
Mume wa Betina afukuzwe,Fukuzeni Mkurugenzi Mkuu wa EWURA
Sasa kama Haina maana hio Ina maana Gani?Imeongeza kuwa haina maana kuwa baada ya siku 19 kutakuwa hakuna Mafuta Nchini
Mafuta hamna.Mafuta hakuna ama hayatoshi leo nimetembea vituo vinne hakuna diesel
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hii kero ya foleni kwenye vituo umeanza Mara tu baada ya jamaa kuanza kazi? Halafu jamaa Ni msomi mzuri tu, mbona badala ya kutatua tatizo ndio kila mwezi linaongezeka?CEO wa EWURA ni mume wa Spika hakuna namna
Mafuta hamna.
Pesa za kigeni hazina hakuna.
Kumbe, Sanduku la kura Si njia pekee ya kuondokana na CCCm, hata uhaba wa dollar na petrol zaweza kutusaidia.
Kusoma ni jambo moja na kutenda ni jambo jingine, nchi yetu inataka mtu mfuatiliaji wa kwenda field na siyo kuletewa report mezani, dikteta Magu aliweza hilo watu walikuwa wanaogopa kutoa taarifa za uongo, PhD mume wa Spika wa mchongo umewahi kumuona hata anazunguka kwenye hizo sheli?Mbona hii kero ya foleni kwenye vituo umeanza Mara tu baada ya jamaa kuanza kazi? Halafu jamaa Ni msomi mzuri tu, mbona badala ya kutatua tatizo ndio kila mwezi linaongezeka?
Nakukumbusha tu kwamba Mkurugenzi Mkuu ni mume wa Spika wa Bunge [emoji23]Fukuzeni Mkurugenzi Mkuu wa EWURA
Shemeji wa Bunge zima 😂😂
Hakuna sababu ya msingi ya kupanga bei ya mafuta kila mwezi.Mume wa Betina afukuzwe,
Siri za kupanda Bei zinavuja vp Kwa wafanyabiashara Hadi kusababisha uhaba wa kutengeneza?