Mparee2 JF-Expert Member Joined Sep 2, 2012 Posts 3,092 Reaction score 5,386 Sep 6, 2023 #1 nafikiri EWURA waangalie upya huu utaratibu wa kutangaza bei ya mafuta Kila mwezi
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 19,687 Reaction score 23,689 Sep 6, 2023 #2 Ndiyo maana jpm alishindwa kuishi nchi hii.
Mpekuzi Tanzania JF-Expert Member Joined Mar 11, 2018 Posts 650 Reaction score 1,016 Sep 6, 2023 #3 Mparee2 said: nafikiri EWURA waangalie upya huu utaratibu wa kutangaza bei ya mafuta Kila mwezi Click to expand... Tena bila EWURA Kwa hali ya mafuta Duniani mngenunua mafuta Lita elfu 5 kwa mijini. Vijijini ingefika elfu 10
Mparee2 said: nafikiri EWURA waangalie upya huu utaratibu wa kutangaza bei ya mafuta Kila mwezi Click to expand... Tena bila EWURA Kwa hali ya mafuta Duniani mngenunua mafuta Lita elfu 5 kwa mijini. Vijijini ingefika elfu 10
dudus JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 23,782 Reaction score 54,213 Sep 6, 2023 #4 Kadhi Mkuu 1 said: Ndiyo maana jpm alishindwa kuishi nchi hii. Click to expand... Rais pekee ambaye hakuwahi kuvuka bahari! Sijui tatizo lilikuwa nini.
Kadhi Mkuu 1 said: Ndiyo maana jpm alishindwa kuishi nchi hii. Click to expand... Rais pekee ambaye hakuwahi kuvuka bahari! Sijui tatizo lilikuwa nini.
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 10,644 Reaction score 32,375 Sep 6, 2023 #5 Kadhi Mkuu 1 said: Ndiyo maana jpm alishindwa kuishi nchi hii. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kadhi Mkuu 1 said: Ndiyo maana jpm alishindwa kuishi nchi hii. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]