Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 829
- 1,564
Sote tunatambua kuwa EWURA wamezuia mafuta ya petrol na Diesel kuuzwa kwenye madumu. Swali langu kwa wale watu ambao wana mashine zinazojienndesha kwa kutumia hiyo nishati watafanyaje?
Kwa mfano nina trekta liko shamba kilomita kadhaa je kila nitakohitaji mafuta lazima niendeshe Trekta kwenda sheli?
Nina mashine ya kupasua mawe inatumia diesel nitafanyaje ili mafuta yafike mashineni?
Nina mashina ya kusaga, kukoboa au kupukuchukuwa nafaka nafanyeje?
- EWURA yaonya uuzaaji petrol kwenye madumu