EWURA watangaza bei za kikomo za Mafuta kwa Mwezi October: Mwezi wa Road trips!

EWURA watangaza bei za kikomo za Mafuta kwa Mwezi October: Mwezi wa Road trips!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Wakuu, Naona mzigo unazido kushuka tu.

IMG_0098.jpeg

Tukilinganisha na mwezi uliopita:
IMG_0099.jpeg

Tuombee hivi hivi..
 
Hio imekaa vzr karibu mia 200 imepungua litokee dokezo la fasta niandike bei ya zamani 3035 ina maana kwa lita 300 hapo nitakula karibia 60000
 
Road trip zinaanza December mosi.
Hii bei ya wese ikishuka hivihivi Hadi Christmas itakuwa poa sanaaa, hapo nimeshakula zangu full tank unamwaga Moto Tu njiani
 
Road trip zinaanza December mosi.
Hii bei ya wese ikishuka hivihivi Hadi Christmas itakuwa poa sanaaa, hapo nimeshakula zangu full tank unamwaga Moto Tu njiani
Nakumbuka kipindi cha COVID wese liliwahi kua Tsh 1,500 aisee.

Enzi nina cc 2500 ya Kijerumani BMW.

Ilikua kwenda Tanga ni dakika tu hafu siendeshi kinyonge.

Ila ukimpa hela ya kiwi trafiki elfu 10 ni sawa na umemwaga mafuta lita 7 izo. Ambazo unaweza kufika Bagamoyo kwa Forester yetu.
 
Hahahaha 😂 😂 😂 😂 😂
Nakumbuka kipindi kipindi nikiweka mafuta ya huku 10 naenda kariakoo na kurudi jioni bila shida yeyote..
Ilikuwa noma Sana aisee
 
Zikawe ni laana kwako,maana ni machukizo mbele ya Mungu kufanya uovu wa namna hii kwa taifa lako
 
Back
Top Bottom