mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,188
- 1,090
Kumekuwa na mahitaji makubwa ya vituo vya gesi kutokana na wingi wa watumiaji kwa sasa.
Nadhani ingekuwa busara sana kwa Ewura kusitisha utoaji leseni za vituo vya mafuta (petroli na diesel) na hasa kwenye miji mikubwa au majiji.
Ni matumaini yangu itasaidia ktk kujenga uchumi kwa kuepusha matumizi makubwa ya uagizaji mafuta toka nje.
Mwisho ni uhifadhi mazingira kupitia matumizi ya nishati rafiki (Pollution control).