EWURA yaiandikia barua Oryx kujieleza kwanini wamepandisha gesi gafla

EWURA yaiandikia barua Oryx kujieleza kwanini wamepandisha gesi gafla

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Unawezaa ukadharau post za malalamiko hujui nani yuko humu na anasoma nini?

EWURA imeiita bodi ya Oryx kujieleleza kwanini wamepandisha bei ya gesi kuwa kubwa hivi

Msemaji wa EWURA alipoulizwa amesema ni kweli kuna kampuni tumeita viongozi wake ofisini waje kujieleza na waje na marekebisho gani wameamua kufanya kuhusu bei za gesi

Ahsanteni EWURA
watanzania kwanza gesi badae
 
Baada ya Oryx kupandisha bei kwa asilimia 70 kampuni zingine zikasikilizia km 10 days nazo zikapandisha kwa asilimia 40.
 
nadhani itabidi nianze kusafirisha mkaa kuleta dsm, hakuna namna.
 
HATIMAE WAMESHUSHAA BEI NA UZI UMEISHIAAHAPAAAA MNAOENDELEEEA WAMBEAAA
 
Back
Top Bottom