mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Wana JF
Ni siku ya tatu mfululizo barabara ya dar bagamoyo vituo vingi havina mafuta. Hatuwezi kujua kama yamekwisha au yamefichwa kusubiri bei mpya. Kituo cha Bunju mianzini Lake Oil hicho kilifungwa jumamosi. Ninavyojua haiwezekani mafuta ya aina zote yakaisha siku moja, lazima mojawapobyawepo kwa muda Fulani, lakini Ew7ra imeacha wafanyabiashara kuichezea sharubu serikali.
Ni kituo kimoja cha Oilcom kinatoa huduma na bei ni Tshs. 1865 bei ambayo haijatangazwa kama sehemu ya mabadiriko