mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Ewura washaanza kuchoka au matajiri wamewa mfukoni. Inabifi mabosi wqchunguzweKuongezea tu, sehemu nyingine yamepanda kimya kimya sijaona tangazo lile la ewura kama kawaida ila ukipiga *152*00# unapata taarifa za bei mpya tofauti na zilizotangazwa Julai 1, 2020.
Sasa sijui kinaendelea nini?
Hapana, EWURA walitoa tangazo la adjustment.Kuongezea tu, sehemu nyingine yamepanda kimya kimya sijaona tangazo lile la ewura kama kawaida ila ukipiga *152*00# unapata taarifa za bei mpya tofauti na zilizotangazwa Julai 1, 2020.
Sasa sijui kinaendelea nini?
Kuongezea tu, sehemu nyingine yamepanda kimya kimya sijaona tangazo lile la ewura kama kawaida ila ukipiga *152*00# unapata taarifa za bei mpya tofauti na zilizotangazwa Julai 1, 2020.
Sasa sijui kinaendelea nini?
Oh okay kumbe basi sikuwahi kuliona. Tunaomba libandike hapa ili kuondoa sintofahamu. Nimetwmbelea website yao sikuliona mkuuHapana, EWURA walitoa tangazo la adjustment.