EX-BF ananitaka tena na wakati kaoa tayari, nifanyeje?

EX-BF ananitaka tena na wakati kaoa tayari, nifanyeje?

Pretty sometimes kuna issue unaweza kuuliza usaidiwe kisha ukapotoshwa kutokana na mazingira ya swali lenyewe, nafikiri kwa uelewa wangu wa haraka haraka wewe ni mtu mzima na unajua cha kufanya. kama kaoa ni wazi kabisa anakuhitaji kwa ajili ya ngono tu, na inawezekana kuna jambo la hatari linawakiribia kama si kuharibiana maisha basi ni kuambukizana maradhi. Ni bora ukafanya maamuzi sahii juu ya maisha yako kwani yeye ameshavuka one step ahead wakati wewe bado uko traffic light, Mume wa mtu mpe heshima yake na wewe utapewa heshima na jamii kwa msimamo wako thabit.
 
Prety wewe ni wathamani sana, na unatakiwa uamue hatma ya maisha yako hakukupenda alikuona humfai kwenye maisha ndo mana akaamua kuoa, achana naye na umkatie mawasiliano tena akukome, anachotaka ni kukufanya wewe chombo cha starehe siku kwa mkewe kuna matatizo anakuja kwako ili akuharibie maisha tulia dada Mungu afanye kazi yake utampata wa thamani kama wewe na utatulia naye.
 
sasa si bora huyo unayemjua kuliko vicheche wapya? mpe mambo ki pati taimu wakati ukivizia wako wa kudumu!
 
Pretty,kumbuka wewe ni wa thamani sana .usimkubali huyo mwanaume kabisa.Nia yake ni kukuharibia tu.fikiria sana kama alikupenda kiasi hicho kwa nini hakukuowa?Anataka tu kukutumia kama chombo cha starehe mwenzangu.Kataa mtangulize tu mungu kwa kila jambo iko siku nawe itapata wako sio huyo anayetaka kiburudisho.
 
wana jf nisaidieni

Pretty, hivi unauliza nini hasa? Naona unayo majibu yote, kama unasema keshaoa, sisi tukusaidie nini sasa?

Nikuulize maswali haya:-

1. Je, ungependa ndoa yake ivunjike? Au
2. Ungepende ndoa yake idumu?

Katika maswali hayo mawili jibu swali moja na hilo jibu ndilo ulifanyie kazi. By the way nnachokiona kutoka kwako ni kuwa bado unampenda (si vibaya, yatupasa kupendania) kwa maana ya kuwa bado unamkumbuka na tena unamtamani. Jibu swali moja kati ya hayo mawili hapo juu then fanyia kazi jibu lako.
 
wana jf nisaidieni

Je hapo ndo mwisho wa fikra zako??
Wewe unaonaje??
then masuala haya ya mwilini jitahidi kuwa na msimamo epuka shinikizo la watu maana kila uamuzi utakaoufanya usiujutie baadae.
Sit down with glass of water and think what to do.
 
Kuna aibu gani hapo, kama ub*o pengine ulimnyonya, au hata both sides alipitia. Pengine wewe unautamu wa ziada kuliko mkewe.
.

JEFF, tafadhali tuondoleee hizi habari, ishu nyingine zinatuwewesesha tu
 
wana jf nisaidieni

Na hakika jamaa awezi kukutaka mara mbili, mwanaume anatongoza mara moja ukimkubalia kinachofuata ni kuchapa mambo. Kama kuoa jamaa anajua kama kaoa sasa, kama nafasi ipo chapeni raha salama.

Thamani yako haiwezi kwisha kwa kumpa jamaa mambo ulishampa sana tu hakuna cha ajabu hapo. Zaidi siasa za mapenzi tu, manake jamaa akikueka katika blue kona huruki wala uwezi rudi kuuliza kwamba umpe au usimpe. Manake hapa macho makavu utasema chochote lakini uso kwa uso na chemistry zinajitengeneza huruki bana.

Kama unahitaji mpe, mtu akishapita kapita uwezi badili ukweli.
 
Wanawake ndio hapo mnapoonesha udhaifu wenu mbele ya wanaume,jibu la swali lako inategemea mlikuwa mmekubaliana nini na huyo mwanaume mlivyoanza,kama mlikubaliana mtakuwa mnapeana mapenzi lkn hakuna mipango ya kuoana,endelea kupeana mavitu,ila kama mlikuwa na mipango ya kuoana na akakuacha akamuoa mwingine basi achana nae na mtafute wako wa maisha.usikubali kuwa spear tyre.
 
Dear Pretty
Usipowaelewa wanaume kila x'bf wako akikutaka utampa tu! Unapotaka kufanya kitu jiulize kinakusaidia nini na kitakupeleka wapi? Jiulize vipi wewe ndo ungekuwa umeolewa na mumeo anamtaka x'gf wake halafu ukafahamu,inauma na asikudanganye mtu.

Angalau mwanaume akuone una msimamo na maisha yako pia heshimu ndoa yake! Kama anakupenda mjaribu tu amwache mkeo awe na wewe ndo uone wanaume wakoje,haitotokea manake!

Hata kama maisha ni mafupi na matamu,furahia na wengine siyo mume wa mtu! Mwisho wa siku utaumizwa tu mamii..
 
Ukweli utabaki pale pale kudate na mume wa mtu ni dhambi maana unaharibu ndoa yao. Kaa pembeni maana kumfanyia hivyo mwenzio uctegemee kingine na wewe utafanyiwa hivyohivyo tu.Kaa pembeni ndugu yangu,subiri wa kwako ili ujinafasi na uwe na uhuru. Fikiria kabla ya kutenda maana ukinaswa na mke wake haman cha kujadili,wengi wameuawa ndugu yangu.
Naamini u muumini mzuri wa dini yoyote ile, unachotaka kufanya c sahihi.Tulia na muombe mungu akusaidie.
 
Dear Pretty
Usipowaelewa wanaume kila x'bf wako akikutaka utampa tu! Unapotaka kufanya kitu jiulize kinakusaidia nini na kitakupeleka wapi? Jiulize vipi wewe ndo ungekuwa umeolewa na mumeo anamtaka x'gf wake halafu ukafahamu,inauma na asikudanganye mtu.

Angalau mwanaume akuone una msimamo na maisha yako pia heshimu ndoa yake! Kama anakupenda mjaribu tu amwache mkeo awe na wewe ndo uone wanaume wakoje,haitotokea manake!

Hata kama maisha ni mafupi na matamu,furahia na wengine siyo mume wa mtu! Mwisho wa siku utaumizwa tu mamii..

Asubiri tu watu wanamwagiwa maji ya moto... mume wa mtu anauma ati!
 
Back
Top Bottom