Dear Pretty
Usipowaelewa wanaume kila x'bf wako akikutaka utampa tu! Unapotaka kufanya kitu jiulize kinakusaidia nini na kitakupeleka wapi? Jiulize vipi wewe ndo ungekuwa umeolewa na mumeo anamtaka x'gf wake halafu ukafahamu,inauma na asikudanganye mtu.
Angalau mwanaume akuone una msimamo na maisha yako pia heshimu ndoa yake! Kama anakupenda mjaribu tu amwache mkeo awe na wewe ndo uone wanaume wakoje,haitotokea manake!
Hata kama maisha ni mafupi na matamu,furahia na wengine siyo mume wa mtu! Mwisho wa siku utaumizwa tu mamii..