Sasa mikopo imetoka muache kusumbua humu ukumbini, mmekuwa kero sana. Nenda shuleni kuanzia leo. Lecturers, Professors, wape kazi sana wakose hata muda wa kuja kujaa humu. Kipimo cha utendaji wa walimu ni kuona mmewabana wasome waache kucheza "rede" ya chekechea jamvini