Mkuu MTM hiyo niliyobold ndiyo ambayo siiwezi kabisa, naiona ngumu kupita kiasi wala sitaki kuifikiria. Unajua kila mtu na roho yake bana, kuna anayeona kujitangaza ana ngoma ni poa, lakini mie kweli siwezi hata kidogo. Kwani lazima anayepima ajitangaze? Au kwani ni lazima anayeunga mkono mapambano dhidi ya UKIMWI kwani lazima naye aseme anao?
kuhusu hizo pole zikufikiazo kwa chaguo ni lako, waweza kujibu "asante",
au ukajibu "asante lakini nimesalimika" au waweza kutozijibu kabisa na
kuwaacha watumaji wajaze wenyewe.
Mtu B ,kuhusu issue ya Mchumba ,usiwe na wasiwasi,ukipata or kama unaye tayari sijui,Mwanadada ambaye ni mature ataelewa tu,mkikaa chini mkaliongelea vizuri hakutakuwa na shida,haya yanapita yote.
Hapa kuna tatizo la watu kuwatangaza wenzao wameathirika bila hata ushahidi,,,,,
ndo wabongo walivyo....
Wapo watu wanatangazwa sio riziki mitaani
si afadhali ya wewe ya ukimwi waweza pima tu ikaisha.
Nawashukuru wote kwa ushauri, nitatafuta muda na sehemu muafaka ya kufanyia kipimo, na nitawashirikisha majibu hapa. Kwa kuwa hapa bado hakuna anayenifahamu kihalisi, bado si shida nikiwapa majibu whatever the outcome. Suala la kuweka majibu wazi hata kwa wanaonifahamu vema bado nahisi kwa sasa litakuwa gumu.
Huyo demu pia nitatafuta audience naye baada ya majibu kwa ajili ya kushirikishana, kushauriana na kupeana moyo kulingana na majibu nitakayopata.
Chungeni sana washkaji zangu, ngoma ni noma! Hapa sijui kama ninao au la, na tena sijatembea peku hata siku moja, lakini hicho kihoro ni usiseme! Ni balaa, amani ziro! Kama gharama ya kumega ndiyo hii, yaani basi watu wangu, sijui hata!
, We sio Mtanzania?Unajua watanzania wengi wanatabia ya kumwamini m2 baada ya kukaa naye kwa muda
With experience au?so matumizi ya condom yanakuwa important wakati wa ''ndoa changa'' yaani kabla penzi halijapamba moto. Penzi likipamba moto Condom huwa ndio inasahaulika.
chumvini je ulikuwa huendi?pia mlikuwa hambadilishani ndimi?hapa solution ni kupima tu ili kujua ukweliNawashukuru wote kwa ushauri, nitatafuta muda na sehemu muafaka ya kufanyia kipimo, na nitawashirikisha majibu hapa. Kwa kuwa hapa bado hakuna anayenifahamu kihalisi, bado si shida nikiwapa majibu whatever the outcome. Suala la kuweka majibu wazi hata kwa wanaonifahamu vema bado nahisi kwa sasa litakuwa gumu.
Huyo demu pia nitatafuta audience naye baada ya majibu kwa ajili ya kushirikishana, kushauriana na kupeana moyo kulingana na majibu nitakayopata.
Chungeni sana washkaji zangu, ngoma ni noma! Hapa sijui kama ninao au la, na tena sijatembea peku hata siku moja, lakini hicho kihoro ni usiseme! Ni balaa, amani ziro! Kama gharama ya kumega ndiyo hii, yaani basi watu wangu, sijui hata!
chumvini je ulikuwa huendi?pia mlikuwa hambadilishani ndimi?hapa solution ni kupima tu ili kujua ukweli
hivi na nyie kwa nini mnapenda kupigana kavu?au mkitumia condom mnaona hampatai utamu?mambo mengine ni ya kujitakia haya
Nawashukuru wote kwa ushauri, nitatafuta muda na sehemu muafaka ya kufanyia kipimo, na nitawashirikisha majibu hapa. Kwa kuwa hapa bado hakuna anayenifahamu kihalisi, bado si shida nikiwapa majibu whatever the outcome. Suala la kuweka majibu wazi hata kwa wanaonifahamu vema bado nahisi kwa sasa litakuwa gumu.
Huyo demu pia nitatafuta audience naye baada ya majibu kwa ajili ya kushirikishana, kushauriana na kupeana moyo kulingana na majibu nitakayopata.
Chungeni sana washkaji zangu, ngoma ni noma! Hapa sijui kama ninao au la, na tena sijatembea peku hata siku moja, lakini hicho kihoro ni usiseme! Ni balaa, amani ziro! Kama gharama ya kumega ndiyo hii, yaani basi watu wangu, sijui hata!
Chumvini huwa nina kinyaa flani, so sijawahi kujaribu na mtu yeyote. Lakini hilo la kula denda kusema ukweli tulikulana kwa sana tu, tena yeye alikuwa na fantasy ya ajabu ya kupenda nimjazie mate yangu kinywani kwake kisha anayameza! Na hata huku naniliu alikuwa ananyonya hadi product zinakuja anazimeza, sijui alikuwa anafurahia nini. Tumejifunza mengi pamoja, ila hilo la chumvini sikufuzu.