chrispin we acha Binamu usiseme haya mambo yasikie kwa mwenzio
Mtu B mwaya me am zea for u
count on my support please
Asante FL1 na wengine mnaonifariji hivi. Hata ule muda niliopanga kusubiri kabla ya kwenda kupima nimeufupisha nitakwenda soon. Next wk nina safari mkoa mwingine ya kikazi for 2 weeks, nitatumia mwanya huohuo kutembelea kituo cha VCT. Lakini bado najisikia sitaki nikutane na ninayemjua huko kituoni.

haendi mtu kupima VVU!...hata kwa bull-dozer
haendi mtu kupima VVU!...hata kwa bull-dozer
kupima ukimwi ni kinyume na haki za binadamu!.....hahaha! Bwashee hapa ntahitaji maelezo kwa manufaa ya dadangu.
kupima ukimwi ni kinyume na haki za binadamu!.....
Si mchezo,sisi hakuna kukwepa maana nikiwa mjamzito ni lazima kupima for the sake of a baby.Nakumbuka nikiwa nasubiri majibu pressure inapanda na kushuka,yataka moyo kuambiwa una Ngoma si mchezohaendi mtu kupima VVU!...hata kwa bull-dozer
Pole sana,kapime sehemu ambayo hujulikani kabisa,achana nao wao wanakusema je wao wanajua status ya afya zao?usijali KApime ili kuondoa wasiwasi .Nakuonea imani kweliLeo hapa ofisini nimewafuma watu wananisema vibaya.
Pole sana,kapime sehemu ambayo hujulikani kabisa,achana nao wao wanakusema je wao wanajua status ya afya zao?usijali KApime ili kuondoa wasiwasi .Nakuonea imani kweli
Pole sana,kapime sehemu ambayo hujulikani kabisa,achana nao wao wanakusema je wao wanajua status ya afya zao?usijali KApime ili kuondoa wasiwasi .Nakuonea imani kweli
Keshokutwa kipimo bila kukosa. Tik tik tik......... I can't wait!