mimi ni baba wa familia(nimeoa) kabla ya kuoa nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambae nilidumu nae kwa miaka mitatu hivi. nilipokuwa tayari kuoa nilimtaarifu mwenzangu kuwa nataka kujitokeza kwao aliniambia kuwa kwa wakati huo hayupo tayari kuolewa kwa sababu bado hajajiandaa na wazazi wake hawawezi kukubali na pia alikuwa na plan ya kuendelea kusoma. kwa sababu nilikuwa nimeweka malengo yangu kuwa ikifika age fulani nioe nilichukua uamuzi wa kutafuta mtu mwingine aliyetayari kuolewa na mungu si athumani nikampata. baada ya kumpata nilitumia busara yangu kumjulisha kuwa nimeamua kutafuta mwingine aliye tayari kuolewa na nimeshampata so no need kuendelea kuwa na mahusiano nae, alikubali ingawaje kwa shingo upande na kwa kulia sana baada ya hapo tuliendelea kuwasiliana kama marafiki wa kawaida kwa sababu hatukugombana. sasa ni miaka mitatu imeshapita ametokea kuwa karibu tofauti na ilivyo kawaida na pia amekuwa akilalamika kila siku kuwa boyfriend wake hamkidhi mahitaji yake(sex) nimekuwa nikimshauri awe mvumilivu na ampeleke kwa washauri wa mahusiano lakini kali ni last week alipoanza kuniambia live kuwa hatokuwa na maana yoyote kama hatozaa nami maana ni mwanaume pekee ambaye nimebaki na nafasi katika moyo wake so anachoomba yeye si kurudiana bali niweze kuzaa naye ili iweze kuwa kumbu kumbu yake for rest of her life, kwangu imekuwa ni mtihani sana kwa sababu ya urafiki wetu hata baada ya mimi kuoa. ushauri wenu wanajf
kaka kosa kubwa ulilifanya kundeleza mawasiliano, ulipoamua kuoa ulitakiwa kuacha kabisa mawasiliano ama mawasiliano kuwa 1%. sasa ndoa yako ni muhinu kwa mtazamo wangu, so mpotezee na umwambia akome kabisa.mimi ni baba wa familia(nimeoa) kabla ya kuoa nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambae nilidumu nae kwa miaka mitatu hivi. nilipokuwa tayari kuoa nilimtaarifu mwenzangu kuwa nataka kujitokeza kwao aliniambia kuwa kwa wakati huo hayupo tayari kuolewa kwa sababu bado hajajiandaa na wazazi wake hawawezi kukubali na pia alikuwa na plan ya kuendelea kusoma. kwa sababu nilikuwa nimeweka malengo yangu kuwa ikifika age fulani nioe nilichukua uamuzi wa kutafuta mtu mwingine aliyetayari kuolewa na mungu si athumani nikampata. baada ya kumpata nilitumia busara yangu kumjulisha kuwa nimeamua kutafuta mwingine aliye tayari kuolewa na nimeshampata so no need kuendelea kuwa na mahusiano nae, alikubali ingawaje kwa shingo upande na kwa kulia sana baada ya hapo tuliendelea kuwasiliana kama marafiki wa kawaida kwa sababu hatukugombana. sasa ni miaka mitatu imeshapita ametokea kuwa karibu tofauti na ilivyo kawaida na pia amekuwa akilalamika kila siku kuwa boyfriend wake hamkidhi mahitaji yake(sex) nimekuwa nikimshauri awe mvumilivu na ampeleke kwa washauri wa mahusiano lakini kali ni last week alipoanza kuniambia live kuwa hatokuwa na maana yoyote kama hatozaa nami maana ni mwanaume pekee ambaye nimebaki na nafasi katika moyo wake so anachoomba yeye si kurudiana bali niweze kuzaa naye ili iweze kuwa kumbu kumbu yake for rest of her life, kwangu imekuwa ni mtihani sana kwa sababu ya urafiki wetu hata baada ya mimi kuoa. ushauri wenu wanajf
Yaani member wote 45 mliochangia mnajifanya hamna wazinzi kati yenu! huu sio uongo jamani? Mbona Tanzania hisinge kuwa na nyumba ndogo wala ATM na Taifa lingebarikiwa sana.
watu 45 ni wadogo sana kutoa hiyo conclusion yako.
thubutuuuu... kama hajipendi basi afanye hapo penye red...jamani wana jf kuna mambo kuomba msaada jamani....sio kitu kama hiki ambacho kiko streit fowadi.....huyu haheshimu ndoa yake.....
hili swala linahusu maisha yako na wewe na familia yako halafu unaona kabisa tayari umeshaoa na una mke halafu unakuja hapa kuuliza kitu ambacho wewe mwenyewe ni injinia wake....na pengine umetembea nae huyo dada baada ya kuwa umeoa na huku ukimwambia kuwa ....oooo darl unajua nilioa kwa bahati mbaya..mhmhh yaani wewe ndio uko moyoni...na sasa anataka mtoto then unaanza kutoa macho.... na kutuuliza sisi huku?!!!...cha kufanya nenda nyumbani kwako mwambie mkeo hii habari then chukua ushauri wake full stop.....