Ex Girlfriend kaniganda

Ex Girlfriend kaniganda

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Tuliachana kwa sababu zenye mashiko.

Ila haishi kutuma text za kunijulia hali, Mara ohhh nimemiss ile sehemu tulipokuwa tuna kunywa vinywaji, mara aanze kunitumia text kuhusu rafiki zake ambao niliokuwa nikiwafahamu pia. Majuzi kanilipia kadi ya harusi ya mmoja wa ndugu zake ety anataka nikahudhurie pia.

Muda mwingi hutuma ujumbe lakini sio kwa njia ya kusumbua, hata hivyo anaendelea kutuletea "sisi". Nimemwambia mara kadhaa sitaki kurudiana. Anakubali kwa muda lakini anarudi kuniambia vitu kama bado ananipenda. Sijui nini cha kufanya katika hatua hii. Nimejaribu "kuwapo kwa ajili yake" kwa sababu alihamia jiji langu hivi karibuni na hana marafiki wa karibu kwa sababu ya ugeni wake. Nadhani chaguo langu jingine tu ni kumpuuza kabisa, ambayo nadhani ni kali ukizingatia ilikuwa mgawanyiko ulioonekana kupendeza.

Natamani nimuweke wazi kuwa mimi ni "mzungusha sahani"na pia siwezi kurudi pale nilipoona hapafai. Ila naona kama ikumuumiza sana ukizingatia ni Ka'innocent fulani hivi.

Je! Nyinyi mna maoni gani?

Mzungusha sahani = A man who cant committ to a single woman
 
Najiuliza tu hivi ni akili timamu binadamu wa kawaida kumrudia Ex girlfriend !
 
Endlea tu kujipigia mdg mdg ...ili kupunguza kidumu

Anyway mfanye MILITARY BASE.....
 
Sio mmoja tu. ninao wakutosha.
Hao ni hatari kwa afya yako so chagua kubaki na mmoja ambaye unaona ni bora zaidi kwako kwamaana ukisema uanze kuwafikiria utaumia mfano huyo anayetaka mrudiane na hujui huko alikua na nani na kakumbana na nini kwahyo mkwepe
 
Mwanamke haachwi kwa maneno anapigwa matukio mpaka aachie ngazi mwenyewe. We endelea kula papuchi alafu usimjali wala nini mpaka ajistukie anatumiwa tu. Atakuacha mwenyewe
 
Back
Top Bottom