Ex Mayor Jacob Boniface afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Ex Mayor Jacob Boniface afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Asema Meya Mstaafu,Bonifasi Jacob....Leo ni Siku yenye Furaha sana Kwangu*Huku Dar polisi Oysterbay wamenifutia Tuhuma za Ugaidi na Kupanga Vurugu baada ya Uchaguzi Mwaka Jana,Na Leo wamenikabidhi Simu zangu zote Baada ya Uchunguzi wa Miezi 6

Weekend tamu hii. Huku kicheko kule vilio

Screenshot_20210604-164822.png
 
Yaani nchi hii unaweza tengenezewa kesi/tuhuma na kisha zikafutwa na maisha yanaendelea!

Mifumo ya kutoa haki nchi hii ni dhaifu mno na ndio maana yote haya yanatokea.

Unaweza kuwa na rundo la mashitaka mazito na mwisho wa siku yote yakayeyuka mradi tu kuna watu wamekamata remote wanaendesha kesi yako.

To be precise, hii kwa Ex Mayor Jacob inapaswa kuwa ni siku ya huzuni kubwa na si furaha hata kidogo.
 
Asema Meya Mstaafu,Bonifasi Jacob....Leo ni Siku yenye Furaha sana Kwangu*Huku Dar polisi Oysterbay wamenifutia Tuhuma za Ugaidi na Kupanga Vurugu baada ya Uchaguzi Mwaka Jana,Na Leo wamenikabidhi Simu zangu zote Baada ya Uchunguzi wa Miezi 6

Weekend tamu hii. Huku kicheko kule vilio

View attachment 1808119
Duh
 
Lakini Kaka Boni wala hutakiwi kufurahia sana. Unatakiwa kumshukuru Mungu tu. Maana kiuhalisia yale mashtaka hayakuwa na uzito wa kijinai ilikuwa na lengo la kukulostisha kwenye uchaguzi. Yalianzishwa ili kukulostisha kwenye uchaguzi nadhani wameshinda kwa hili. Lengo la mashtaka ilikuwa kukupoteza kisiasa na sio kijinai.

Shangilia tu kwa kuwa hawakutumia mkono wa chuma kukuzamisha nayo. Ungeozea jela
 
Back
Top Bottom