Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
DuhAsema Meya Mstaafu,Bonifasi Jacob....Leo ni Siku yenye Furaha sana Kwangu*Huku Dar polisi Oysterbay wamenifutia Tuhuma za Ugaidi na Kupanga Vurugu baada ya Uchaguzi Mwaka Jana,Na Leo wamenikabidhi Simu zangu zote Baada ya Uchunguzi wa Miezi 6
Weekend tamu hii. Huku kicheko kule vilio
View attachment 1808119
CCM wanapitishwa kwenye tanuru la motoMapepo yameanza kuishiwa nguvu sasa
baada ya Shetani mkuu kuhamishiwa kuzimu
Na aliyefutiwa kesi bila kudai fidia yoyoteYaani nchi hii unaweza tengenezewa kesi na kisha ikafutwa na maisha yanaendelea.
Mifumo ya kutoa haki nchi hii ni dhaifu mno na ndio maana yote haya yanatokea.
Siku zote shetani huwa ana mbwembwe sana, lakini ni za muda mfupi tu.Huyu mama sasa ndio hata akisema niombeeni, ni halali.Mapepo yameanza kuishiwa nguvu sasa
baada ya Shetani mkuu kuhamishiwa kuzimu
Hahhaaa kila mtu ashinde mechi zakeOnly in Tanzania, anayeshutumiwa kwa ugaidi yupo tu uraiani kwa zaidi ya miezi 6😂
Mungu ni wetu soteMh hii awamu siielewi .... Mpinzani kafutiwa mashtaka huku mwana mfalme anapanda kizimbani.
Eti watanzania mniombee,kumbe tunamuombea ili apate nguvu ya kupoteza watu na kuwatupa kwenye virobaSiku zote shetani huwa ana mbwembwe sana, lakini ni za muda mfupi tu.Huyu mama sasa ndio hata akisema niombeeni, ni halali.