EX wa Uwoya atuma ujumbe kwa Janjaro

Celebrity forum cku hizi inakata stim.......kwani mkiandika mnapungukiwa nini.au mnazani wote tunamijihela ya bando?
Mnaboa bn ndo mana mnakosa ata wachangiaji na umbea umepungua ladha sababu hii......

Back to topic
Yan katika pipoz sizielewagi ni huyu msami baby......iv inakuaje mwanaume kujiita baby.
 
Jiongeze Mkuu Hapo kwa MSAMI BABY!
 
Kuna mwingine humu anajiita LONDON BABY yaani huwa sielewi kabisa
 
Pole mkuu dola mbona ishashuka iko sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…