nadiegirlie
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 479
- 671
funguka inawezekana yupo hapa akarudisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kumbe ni ID ya soudybrownfunguka inawezekana yupo hapa akarudisha
UnaishijeMm kaondoka na moyo wangu
Davy JonesMm kaondoka na moyo wangu
EeeeeeehMapenzi yangu. Kaniachia moyo wa kikauzu na mimi nataka kupenda tena
aisee uko vizuriAliondoka na offer letter yakiwanja. Asee nilikiuza fasta kwa jamaa ambae alikuwa anafahamu fika kile kiwanja ni Cha kwangu
utapenda tu mama ukimpata wa kukupenda mapenzi hurudi tuMapenzi yangu. Kaniachia moyo wa kikauzu na mimi nataka kupenda tena
Naona muda unaenda sasautapenda tu mama ukimpata wa kukupenda mapenzi hurudi tu
atapatikana tuNaona muda unaenda sasa
hiyo mwachie labda atajisahau siku moja akatumaAccount number yangu.
Anirudishie tu maana hata hela hatumi tena.
atapatikana tu
😂😂😂😂😂Account number yangu.
Anirudishie tu maana hata hela hatumi tena.
funguka inawezekana yupo hapa akarudisha