Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Sep 6, 2010 #21 Tunguli tungua tungu tatungu tangu tendungu tandu tiungu tungua tungue tungulele mkalele
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 Sep 7, 2010 #22 Kiranja Mkuu said: Bado anakupenda. Endelea kumuumiza moyo hivyo hivyo mpaka akome Click to expand... Watu mna roho ngumu sana ..kwa hiyo unackia raha kumkomesha mwenzio?
Kiranja Mkuu said: Bado anakupenda. Endelea kumuumiza moyo hivyo hivyo mpaka akome Click to expand... Watu mna roho ngumu sana ..kwa hiyo unackia raha kumkomesha mwenzio?
Konakali JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 1,533 Reaction score 266 Sep 7, 2010 Thread starter #23 Msanii said: Tunguli tungua tungu tatungu tangu tendungu tandu tiungu tungua tungue tungulele mkalele Click to expand... Mkuu natamani niyafahamu vema maneno yako ili nipate kuyafanyia kazi.
Msanii said: Tunguli tungua tungu tatungu tangu tendungu tandu tiungu tungua tungue tungulele mkalele Click to expand... Mkuu natamani niyafahamu vema maneno yako ili nipate kuyafanyia kazi.
Muacici JF-Expert Member Joined Aug 11, 2008 Posts 208 Reaction score 11 Sep 7, 2010 #24 Vijana acheni uasherati, kutungua ndio nini?? kama urafiki unakubalika lakini sio kutunguana kabla ya ndoa. Ushauri wangu kwako ni kwamba weka mambo wazi hatakufuatafuata. Funga ndoa na huyo uliye aye sasa na kama huna mwambie umeokoka.
Vijana acheni uasherati, kutungua ndio nini?? kama urafiki unakubalika lakini sio kutunguana kabla ya ndoa. Ushauri wangu kwako ni kwamba weka mambo wazi hatakufuatafuata. Funga ndoa na huyo uliye aye sasa na kama huna mwambie umeokoka.
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Sep 7, 2010 #25 Konakali said: Mkuu natamani niyafahamu vema maneno yako ili nipate kuyafanyia kazi. Click to expand... Mlatungu kaonja chungu Chungu juu kinaTundu kinaTundu maji ya Ufudu Ufudu jirambe Ufaudu Ufaudu raha ya Sumu Sumu ogopa Sumu
Konakali said: Mkuu natamani niyafahamu vema maneno yako ili nipate kuyafanyia kazi. Click to expand... Mlatungu kaonja chungu Chungu juu kinaTundu kinaTundu maji ya Ufudu Ufudu jirambe Ufaudu Ufaudu raha ya Sumu Sumu ogopa Sumu
Konakali JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 1,533 Reaction score 266 Sep 7, 2010 Thread starter #26 Msanii said: Mlatungu kaonja chungu Chungu juu kinaTundu kinaTundu maji ya Ufudu Ufudu jirambe Ufaudu Ufaudu raha ya Sumu Sumu ogopa Sumu Click to expand... Sasa nimekuelewa mkuu, na hatimaye naweza kufanya maamuzi sahihi...!
Msanii said: Mlatungu kaonja chungu Chungu juu kinaTundu kinaTundu maji ya Ufudu Ufudu jirambe Ufaudu Ufaudu raha ya Sumu Sumu ogopa Sumu Click to expand... Sasa nimekuelewa mkuu, na hatimaye naweza kufanya maamuzi sahihi...!
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Sep 7, 2010 #27 Konakali said: Sasa nimekuelewa mkuu, na hatimaye naweza kufanya maamuzi sahihi...! Click to expand... Ladha ina chachu tamu Tamu haileti hatamu Hatamu si ufahamu Fahamu mauti ya hamu. Safi kama umenisoma skehe uduvi
Konakali said: Sasa nimekuelewa mkuu, na hatimaye naweza kufanya maamuzi sahihi...! Click to expand... Ladha ina chachu tamu Tamu haileti hatamu Hatamu si ufahamu Fahamu mauti ya hamu. Safi kama umenisoma skehe uduvi
The Finest JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 21,605 Reaction score 6,092 Sep 7, 2010 #28 Mhhh JF bana
Konakali JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 1,533 Reaction score 266 Sep 7, 2010 Thread starter #29 Msanii said: Ladha ina chachu tamu Tamu haileti hatamu Hatamu si ufahamu Fahamu mauti ya hamu. Safi kama umenisoma skehe uduvi Click to expand... Dah...! Nimepotea tena chakani mkuu!
Msanii said: Ladha ina chachu tamu Tamu haileti hatamu Hatamu si ufahamu Fahamu mauti ya hamu. Safi kama umenisoma skehe uduvi Click to expand... Dah...! Nimepotea tena chakani mkuu!
K KABAZI JF-Expert Member Joined Apr 19, 2010 Posts 303 Reaction score 11 Sep 7, 2010 #30 Achana nae wivu unamsumbua siku zote "Chakula cha leo ndio kitamu, cha jana kipolo"