dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Hi kitu nashindwa kuelewa malengo yake Ni nn ,Ni kunionesha kuwa amenenepa au kunanin?
Jana na leo naona ananitumia picha zake na kutaka pia Zangu nimtumie anasema hajaniona Muda mrefu .mm huwa sipost Wal kuview page za watu wa kawaida sanaa Kama unafanya biashRa ndio huwa natazma dp yako Sasa ameona sitazamagi dp yake akaone atume kbsaa picha zake
Nikamuuliza za nn akasema mbna hauko romantic wewe " kila kitu ubabe ubabe kwako
Vipi wakuu Kuna nn anataka