dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Anataka kukubaka, akukule operamini, kuwa naye makini sana.Hi kitu nashindwa kuelewa malengo yake Ni nn ,Ni kunionesha kuwa amenenepa au kunanin?
Jana na leo naona ananitumia picha zake na kutaka pia Zangu nimtumie anasema hajaniona Muda mrefu .mm huwa sipost Wal kuview page za watu wa kawaida sanaa Kama unafanya biashRa ndio huwa natazma dp yako Sasa ameona sitazamagi dp yake akaone atume kbsaa picha zake
Nikamuuliza za nn akasema mbna hauko romantic wewe " kila kitu ubabe ubabe kwako
Vipi wakuu Kuna nn anataka
Huyo anataka kujirudisha. Amegundua huko alipo ni pabaya. By the way mliachana kwa staili ipi? Nani alimuacha mwenzie tuanzie hapoHi kitu nashindwa kuelewa malengo yake Ni nn ,Ni kunionesha kuwa amenenepa au kunanin?
Jana na leo naona ananitumia picha zake na kutaka pia Zangu nimtumie anasema hajaniona Muda mrefu .mm huwa sipost Wal kuview page za watu wa kawaida sanaa Kama unafanya biashRa ndio huwa natazma dp yako Sasa ameona sitazamagi dp yake akaone atume kbsaa picha zake
Nikamuuliza za nn akasema mbna hauko romantic wewe " kila kitu ubabe ubabe kwako
Vipi wakuu Kuna nn anataka
Sijaluelewa mm Niko ddm yey Yuko musoma maraMwenzio uko Dodoma keshawaishwa Bado wew
Kibinti cha Huko kwenu moshono πππ wenge tu alinkuwa naloHuyo anataka kujirudisha. Amegundua huko alipo ni pabaya. By the way mliachana kwa staili ipi? Nani alimuacha mwenzie tuanzie hapo
KivipiiNa wewe mtumie punda wa kienyeji unone atasemaje π€π€
Nimtumie mkuyenge wangu mkuuNNa wewe mtumie punda wa kienyeji unone atasemaje π€π€
Yeah.. Huyo anataka kupigwa miti..Nimtumie mkuyenge wangu mkuuN
Piga chini huyo. Ukijichanganya ukapashe kiporo umeishaKibinti cha Huko kwenu moshono πππ wenge tu alinkuwa nalo
Hi kitu nashindwa kuelewa malengo yake Ni nn ,Ni kunionesha kuwa amenenepa au kunanin?
Jana na leo naona ananitumia picha zake na kutaka pia Zangu nimtumie anasema hajaniona Muda mrefu .mm huwa sipost Wal kuview page za watu wa kawaida sanaa Kama unafanya biashRa ndio huwa natazma dp yako Sasa ameona sitazamagi dp yake akaone atume kbsaa picha zake
Nikamuuliza za nn akasema mbna hauko romantic wewe " kila kitu ubabe ubabe kwako
Vipi wakuu Kuna nn ana
Kamsemee kwa Mama.Piga chini huyo. Ukijichanganya ukapashe kiporo umeisha
Ipo vR ilq kazalishwa kaachwa mkuu na alitaka kunitegeshea hiyo mimbaMarket value yake ipoje kwa sasa?
Nimepevuka tayatiUpewe elimu ya namna gani ndio utapevuka kiakili.