Mbna kama unaelekea kua singo maza sasa??Sawa sasa wote tulikuwa na Miaka 23 mimi sina kazi japo yeye alikuwa nayo… kweli ningemzaliaje hapo..
Na mpango wa kuoa bado hata sasa bado hawezi kunioa kwasababu ya mambo fulani fulani kazini kwake
Nimeogopa kuwa single maza
Acha hizo! Unanipenda nakupeda hiyo ni insurance tosha.
Kurudiana vipi wakati nafasi imejaa?
Swala wengine ni wakuacha wapite tu ,usipo kuwa makini utaja tafuna vijiswala vilivyokula majani yenye sumu , ni bora kuviacha vipite tu vikajifie huko mbele.Wanaume wa jf fanyeni namna, swala kuchezacheza mbele ya simba ni dharau jamani.....
ulinyima mtoto mayai ulitaka ukaangie chips yai ule sio!?,, enewei nawewe move on
mbona mwenzio kazaa nae?,sasa kama lengo si kuoana mlikua mnadate for funnyKwaiyo nyie wote hapa leo mnanishauri ningezaa nae… kijana hata mpango wa kuoa hajui anaoa lini wewe mtu wa hivyo ungezaa nae kwelii
Mbna kama unaelekea kua singo maza sasa??
Maana usipomzalia huyo, utamazalia jamaa mwingine usiempenda.
Utakua unacheat na huyo mwisho jamaa atakuacha utakua single maza.
We are unpredictableHuna msimamo unaendeshwa na mihemko umekurupuka kumpa mimba mwanamke mwinginee for the sake of unahitaji mtoto under 27 una presha ya kupata mtoto hivyo
Ndo umwambie sasa unavtotaka. Umesema kuwa yeye kasema anawataka nyote, lkn bado unataka uelezwe anataka nini kwako. Seriously.Mimi nataka nipindue kombe nichukue mimi huyo muache tu
mbona mwenzio kazaa nae?,sasa kama lengo si kuoana mlikua mnadate for funny
that's why nkakwambia move on nawewe,, that's enoughSasa Kazaa na huyo anataka azae na mimi tena mpk sasa hajui nani anamuoa… huwezi kuwa seriously sizani Kama ningekuwa ndugu yako ungenishauri hivi
Ndo umwambie sasa unavtotaka. Umesema kuwa yeye kasema anawataka nyote, lkn bado unataka uelezwe anataka nini kwako. Seriously.
that's why nkakwambia move on nawewe,, that's enough
We are unpredictable
Sasa si mpenzi wako?Nyie wanaume humu ni wanafki. Si nyie mnakujaga kuponda singomaza mara usizae na mwanaume ambae sio mume wako leo hapa mnanishauri ningekubali kuzaa nae
Anawataka wote - kadogo2 post no.1Ndio nielezwe akili yangu haielewi haraka
Sasa si mpenzi wako?
Kwani ukizaa ukiwa na ndoa hawezi kukuacha na ukawa singo maza pia?
Au unadhani usingle maza ni kuzaa kabla ya ndoa pekee??
Unaweza kuzaa kabla hamjaoana na bado mkawa wachumba ambao hamjahalalisha ndoa yenu kimila, kidini au kiserikali ila bado usihesabike kama singo maza maana baba mtoto bado mko na mahusiano.
Nadhani hapo uelewa wako juu ya usingle maza umekupotezea mpenzi.