Exaust kutoa matone ya Maji unapowasha Gari (Cold start)

kapolo

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
303
Reaction score
103
Habari zenu!

Kuna dhana,exaust kutoa matone ya maji kwa baadhi ya Gari unapowasha (Cold Start) kwamba inaashiria uzima wa Engine.

1. Je, kuna ukweli kwenye hii dhana?

2. Nini kinasababisha exaust kutoa Maji kwa baadhi ya Gari unapowasha (Cold Start)?
 
1. Sio kweli.

2. Hayo maji maji yanayotoka katika bomba la Moshi ni matokeo ya hewa baridi na hewa ya joto kukutana na matokeo yake ni hali ya precipitation kutokea.

Bomba linakuwa katika hali ya ubaridi so unapowasha gari ile hewa ya joto kutoka katika engine inapokuwa inaingia kwenye bomba na kukutana na ubaridi wa kile chuma ndipo hiyo hali ya umaji maji hutokea.
 
Asante sana kwa ufafanuzi Mkuu
 
Vipi ikiwa inatoa maji maji hata mchana mkuu?
 
1. Sio kweli.

2. Hayo maji maji yanayotoka katika bomba la Moshi ni matokeo ya hewa baridi na hewa ya joto kukutana na matokeo yake ni hali ya precipitation kutokea.

Bomba linakuwa katika hali ya ubaridi so unapowasha gari ile hewa ya joto kutoka katika engine inapokuwa inaingia kwenye bomba na kukutana na ubaridi wa kile chuma ndipo hiyo hali ya umaji maji hutokea.
Umetudanganya. Ina maana magari yasiyotoa maji hayana bomba la Moshi?
Au yanayotoa maji mchana yana baridi gani?
 
Habari zenu!

Kuna dhana,exaust kutoa matone ya maji kwa baadhi ya Gari unapowasha (Cold Start) kwamba inaashiria uzima wa Engine.

1. Je, kuna ukweli kwenye hii dhana?

2. Nini kinasababisha exaust kutoa Maji kwa baadhi ya Gari unapowasha (Cold Start)?
Huo ni uzima wa catalytic converter (mazega) sio lazima iwe injini ndio nzima
 
Back
Top Bottom