Izi mbona nilizikuta pale yadi moja ipo maeneo ya kigogo, ni used toka Japan, inauzwa milion 95,Excavator inauzwa Million 250 , kwasasa ipo Makumbusho, kwa anae hitaji kuja kuiona tuwasiliane. au pia kama unataka kuikodi pia tuwasiliane, 0764531080
NB: Hii Excavator sio yangu ni ya Mchina so namsaidia kumtafutia wateja kwasababu yeye haongei lugha yoyote tofauti na kichina.
Lakini pia kuna XRF, machine nayo ipo inauzwa
View attachment 1759192
Izi mbona nilizikuta pale yadi moja ipo maeneo ya kigogo, ni used toka Japan, inauzwa milion 95,
Ila nilizikuta pale wanauza milion 95323D kwa Million 95? are you sure?
Kuuzwa Bei flani Inategemea na aina ya machine i.e manufacturer, model n.k. Pia imetengenezwa mwaka gani na masaa iliyofanya kazi na ukubwa wa bucket.Ndo madalali wetu hao mkuu. Mm nakuta canter used namba C inauzwa 32M wakati mhindi kanipa mpya imported from Japan kwa 28M tu.
Weka bei mkuuGenerator pia lipo linauzwaView attachment 1761224
Bro NAKUHAKIKISHIA huwezi kupata mashine kama hiyo kwa 95M ni haiwezekani. Yaan Cat Original 320D halafu masaa 62k ikiwa katika smary working condition.Ndo madalali wetu hao mkuu. Mm nakuta canter used namba C inauzwa 32M wakati mhindi kanipa mpya imported from Japan kwa 28M tu.
Zipo nyingi ukiweza kutenga muda wako kuzitafutaBro NAKUHAKIKISHIA huwezi kupata mashine kama hiyo kwa 95M ni haiwezekani. Yaan Cat Original 320D halafu masaa 62k ikiwa katika smary working condition.
Zipo nyingi ukiweza kutenga muda wako kuzitafuta
NimekuchekaZiko wapi muagize aende na sio kutoa porojo kwenye biashara za watu eti tenga muda wakuzitafuta wakati wewe hujui hata zilipo, kuna sumu za biashara mojawapo ni hii, hujui kitu kilivyo, kilipo, ubora wake unaanza kuropoka tuu.[emoji2959]