huwa kuna kifaa kipo kwaajiri ya kuonesha mda mashine imefanya kazin toka ilipotengenezwa. Vipo vinavyo kuonesha ayo masaa pindi tu unapo washa mashine ana vipo vya analogi hiv ata usipo washa mashine utaona vinakuonesha.Hayo masaa umepimaje boss?
Inaonekana aliyemtumia picha ndiyo amemchanganya!Hapo kiongozi hebu tueleze vizuri ili tusihisi visivyokuwepo.
Inaonekana Kuna aina mbili tofauti za huo mtambo.
Tuambie ni ipi inayouzwa, chain excavator au wheeled excavator?
Niwie radhi mkuu nilikosea wakati wa kupandisha picha. Inayouzwa ni Excavator lakini katika picha niliweka na picha za roller ambayo kimsingi imeuzwa. Mnaiwie radhi niliowachanganyaHapo kiongozi hebu tueleze vizuri ili tusihisi visivyokuwepo.
Inaonekana Kuna aina mbili tofauti za huo mtambo.
Tuambie ni ipi inayouzwa, chain excavator au wheeled excavator?
Poa mkuuNiwie radhi mkuu nilikosea wakati wa kupandisha picha. Inayouzwa ni Excavator lakini katika picha niliweka na picha za roller ambayo kimsingi imeuzwa. Mnaiwie radhi niliowachanganya