kingkaka_12
Member
- May 17, 2021
- 17
- 22
Haupigi kidumu kweli mkuu. Mana Alibaba ,.Mimi machomacho,Hi everyone,
Naitwa Hamza ni Operator wa excavator nilikuwa natafuta kazi nina uzoefu usio pungua miaka mi4 sasa kwa yoyote anae fahamu wanapohitajika ma Operator naomba msaada wako kunijulisha.
Asante
Amn mkuu mi napiga kazi kama kuna nafasi naomba unipe chanceHaupigi kidumu kweli mkuu. Mana Alibaba ,.Mimi machomacho,
Amn shida kaka kukiwa na nafasi utanijulisha number angu ni hii 0744185019Dah alaf deal ilikuwepo kuna operator mmoja alileta maringo wakati kazi imebaki kidogo ikabidi nikajifunze ku operate excavator kupitia YouTube
Nikamamizia kazi mwenyewe
ila kwa Sasa imepata operator mwingine
Niko Mwanza nowUnaishi MKOA gani