Excavator Vs Motor Grader

Excavator Vs Motor Grader

King Rabbit

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
1,145
Reaction score
4,293
Ni mtambo gani mzuri wa kuutafutia gamba kati ya EXCAVATOR na MOTOR GRADER.

Upi ukiwa na gamba lake unakupa wigo mpana sana katika soko la ajira ukilinganisha na wakati tulionao.
 
Excavator mara nyingi tumezoea kuziona migodini na kwenye ujenzi wa mabarabara....swali langu ni kwamba Motor grader ukiacha na matumizi ya barabarani,migodini haina matumizi makubwa?
 
Motor grader haina uwanja mpana ukilinganisha na excavator mkuu.

Kwenye excavator, bucket (kichoteo au kijiko) inaweza kutolewa na kuwekwa attachment nyingine kama rock breaker (nyundo) na chuma ikapiga kazi tofauti...

Uamuzi ni wako.
 
Umeelezea kwa upana wake shukrani.
 
Katika picha ya kwanza ni Motor grader na pili ni Excavator.
C10087683.jpg
View attachment 1742644
 
Motor grader haina uwanja mpana ukilinganisha na excavator mkuu.

Kwenye excavator, bucket (kichoteo au kijiko) inaweza kutolewa na kuwekwa attachment nyingine kama rock breaker (nyundo) na chuma ikapiga kazi tofauti...

Uamuzi ni wako.

Habari mkuu?! Kwema ?!
 
Ni mtambo gani mzuri wa kuutafutia gamba kati ya EXCAVATOR na MOTOR GRADER.

Upi ukiwa na gamba lake unakupa wigo mpana sana katika soko la ajira ukilinganisha na wakati tulionao.
Excavator, wheel loader na back hoe.. Hizi tati zina save mult purpose![emoji817]
 
EXCAVATOR uhakika 800 yako safi kila siku mana hadi kwenye kazi ndogo ndogo mtaani tunizihitaji sana, grader kama hauna connection na wachina na watu wa dili za barabara ACHANA NAYO
 
Back
Top Bottom