King Rabbit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 1,145
- 4,293
EXCAVATOR
Na ayo tu
Excavator mara nyingi tumezoea kuziona migodini na kwenye ujenzi wa mabarabara....swali langu ni kwamba Motor grader ukiacha na matumizi ya barabarani,migodini haina matumizi makubwa?
Umeelezea kwa upana wake shukrani.Motor grader haina uwanja mpana ukilinganisha na excavator mkuu.
Kwenye excavator, bucket (kichoteo au kijiko) inaweza kutolewa na kuwekwa attachment nyingine kama rock breaker (nyundo) na chuma ikapiga kazi tofauti...
Uamuzi ni wako.
Motor grader haina uwanja mpana ukilinganisha na excavator mkuu.
Kwenye excavator, bucket (kichoteo au kijiko) inaweza kutolewa na kuwekwa attachment nyingine kama rock breaker (nyundo) na chuma ikapiga kazi tofauti...
Uamuzi ni wako.
Kwema mkuu, hali vipi?Habari mkuu?! Kwema ?!
Motor grader,utakuja kunishukuruNi mtambo gani mzuri wa kuutafutia gamba kati ya EXCAVATOR na MOTOR GRADER.
Upi ukiwa na gamba lake unakupa wigo mpana sana katika soko la ajira ukilinganisha na wakati tulionao.
Excavator, wheel loader na back hoe.. Hizi tati zina save mult purpose![emoji817]Ni mtambo gani mzuri wa kuutafutia gamba kati ya EXCAVATOR na MOTOR GRADER.
Upi ukiwa na gamba lake unakupa wigo mpana sana katika soko la ajira ukilinganisha na wakati tulionao.
Hii kusomea lazima uwe na cheti cha form 4Katika picha ya kwanza ni Motor grader na pili ni Excavator.View attachment 1742645View attachment 1742644